Maombolezo 3:13 - Swahili Revised Union Version Amenichoma viuno Kwa mishale ya podo lake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake. Biblia Habari Njema - BHND Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake. Neno: Bibilia Takatifu Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake. Neno: Maandiko Matakatifu Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake. BIBLIA KISWAHILI Amenichoma viuno Kwa mishale ya podo lake. |
Kwa kuwa mishale ya huyo Mwenyezi iko ndani yangu, Na roho yangu inainywa sumu yake; Vitisho vya Mungu vimejipanga juu yangu.
Ameupinda upinde wake kama adui, Amesimama na mkono wake wa kulia kama mtesi; Naye amewaua hao wote Waliopendeza macho; Katika hema ya binti Sayuni Amemimina ghadhabu yake kama moto.