Maombolezo 3:12 - Swahili Revised Union Version12 Ameupinda upinde wake, Na kunifanya niwe shabaha kwa mshale. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Amevuta upinde wake na kunifanya mimi niwe lengo kwa ajili ya mishale yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Amevuta upinde wake na kunifanya mimi niwe lengo kwa ajili ya mishale yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Ameupinda upinde wake, Na kunifanya niwe shabaha kwa mshale. Tazama sura |