Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu, naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko.
Luka 8:53 - Swahili Revised Union Version Wakamcheka sana, maana walijua ya kuwa amekwisha kufa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa. Biblia Habari Njema - BHND Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa. Neno: Bibilia Takatifu Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa. Neno: Maandiko Matakatifu Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa. BIBLIA KISWAHILI Wakamcheka sana, maana walijua ya kuwa amekwisha kufa. |
Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu, naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko.
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Na watu wote walikuwa wakilia na kumwombolezea; akasema, Msilie, hakufa huyu, bali amelala usingizi tu.
Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne.