Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi kulingana na neno hili, bila shaka kwa hao hakuna asubuhi.
Luka 8:11 - Swahili Revised Union Version Na huo mfano, maana yake ni hii; Mbegu ni neno la Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Basi, maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu. Biblia Habari Njema - BHND “Basi, maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Basi, maana ya mfano huu ni hii: mbegu ni neno la Mungu. Neno: Bibilia Takatifu “Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu “Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu. BIBLIA KISWAHILI Na huo mfano, maana yake ni hii; Mbegu ni neno la Mungu. |
Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi kulingana na neno hili, bila shaka kwa hao hakuna asubuhi.
Kila mtu alisikiapo neno la ufalme bila kulielewa, huja yule mwovu, akalinyakua lililopandwa moyoni mwake. Huyo ndiye aliyepandwa karibu na njia.
Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, kisha huja Ibilisi akaliondoa hilo neno mioyoni mwao, wasije wakaamini na kuokoka.
Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, na kupokea kwa upole neno lile lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.