Isaya 8:20 - Swahili Revised Union Version20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi kulingana na neno hili, bila shaka kwa hao hakuna asubuhi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Hakika anayesema hivyo hajapata kuona mwanga. Lakini nyinyi shikilieni lile agizo na fundisho la Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Hakika anayesema hivyo hajapata kuona mwanga. Lakini nyinyi shikilieni lile agizo na fundisho la Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Hakika anayesema hivyo hajapata kuona mwanga. Lakini nyinyi shikilieni lile agizo na fundisho la Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi kulingana na neno hili, bila shaka kwa hao hakuna asubuhi. Tazama sura |