Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikulinganishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Luka 7:31 - Swahili Revised Union Version Bwana akasema, Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? Biblia Habari Njema - BHND Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? Neno: Bibilia Takatifu Isa akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini? Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini? BIBLIA KISWAHILI Bwana akasema, Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini? |
Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikulinganishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba;
Lakini, Mafarisayo na wanasheria walilipinga shauri la Mungu juu yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye.
Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.