Luka 23:44 - Swahili Revised Union Version Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hadi saa tisa, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, Biblia Habari Njema - BHND Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, Neno: Bibilia Takatifu Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, Neno: Maandiko Matakatifu Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, BIBLIA KISWAHILI Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hadi saa tisa, |
Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu na itishayo.
Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwa nini kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru.
Tena itakuwa siku hiyo, asema Bwana MUNGU, nitalifanya jua litue wakati wa adhuhuri, nami nitaitia nchi giza wakati wa nuru ya mchana.
Basi yule kamanda, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!
Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja ile siku ya Bwana iliyo kuu na iliyo dhahiri.