Luka 23:21 - Swahili Revised Union Version Lakini wakapiga kelele, wakisema, Msulubishe. Msulubishe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema lakini wao wakapiga kelele: “Msulubishe, msulubishe!” Biblia Habari Njema - BHND lakini wao wakapiga kelele: “Msulubishe, msulubishe!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza lakini wao wakapiga kelele: “Msulubishe, msulubishe!” Neno: Bibilia Takatifu Lakini wao wakaendelea kupiga kelele wakisema, “Msulubishe! Msulubishe!” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wao wakaendelea kupiga kelele wakisema, “Msulubishe! Msulubishe!” BIBLIA KISWAHILI Lakini wakapiga kelele, wakisema, Msulubishe. Msulubishe. |
Akawaambia mara ya tatu, Kwa sababu gani? Huyu ametenda uovu gani? Sikuona kwake hata neno lipasalo kufa. Basi nikiisha kumrudi nitamfungua.
Basi wale wakapiga kelele, Mwondoshe! Mwondoshe! Msulubishe! Pilato akawaambia, Je! Nimsulubishe mfalme wenu! Wakuu wa makuhani wakamjibu, Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.