Matendo 13:28 - Swahili Revised Union Version28 Na ijapokuwa hawakuona sababu ya kumwua wakamwomba Pilato auawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Ingawa hawakumpata na hatia inayostahili auawe, walimwomba Pilato amhukumu auawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Ingawa hawakumpata na hatia inayostahili auawe, walimwomba Pilato amhukumu auawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Ingawa hawakumpata na hatia inayostahili auawe, walimwomba Pilato amhukumu auawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ijapokuwa hawakupata sababu yoyote ya kumhukumu kifo, walimwomba Pilato aamuru auawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ijapokuwa hawakupata sababu yoyote ya kumhukumu kifo, walimwomba Pilato aamuru auawe. Tazama sura |