Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara itokayo mbinguni.
Luka 23:12 - Swahili Revised Union Version Basi siku ile ile Herode na Pilato walipatana kwa urafiki kwa maana hapo kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki. Biblia Habari Njema - BHND Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki. Neno: Bibilia Takatifu Siku hiyo, Herode na Pilato wakapata urafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao. Neno: Maandiko Matakatifu Siku hiyo, Herode na Pilato wakawa marafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao. BIBLIA KISWAHILI Basi siku ile ile Herode na Pilato walipatana kwa urafiki kwa maana hapo kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao. |
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara itokayo mbinguni.
Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,