Luka 23:10 - Swahili Revised Union Version Wakuu wa makuhani na waandishi wakasimama wakamshitaki kwa nguvu sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana. Biblia Habari Njema - BHND Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana. Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwepo wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana. BIBLIA KISWAHILI Wakuu wa makuhani na waandishi wakasimama wakamshitaki kwa nguvu sana. |
Alipotoka humo, Waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,
Basi Herode akamdhalilisha, pamoja na askari wake, akamdhihaki, na kumvika mavazi mazuri; kisha akamrudisha kwa Pilato.
Wakaanza kumshitaki, wakisema, Tumemwona huyu akipotosha taifa letu, na kuwazuia watu wasimpe Kaisari kodi, akisema kwamba yeye mwenyewe ni Kristo, mfalme.
Nao walisisitiza sana, wakisema, Huwataharakisha watu, akifundisha katika Yudea yote, tokea Galilaya mpaka huku.
Kwa maana tumemwona mtu huyu kuwa mkorofi, mwanzilishi wa fitina katika Wayahudi wote duniani, tena ni kichwa cha madhehebu ya Wanazareti.