Luka 19:19 - Swahili Revised Union Version Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akamwambia pia: ‘Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.’ Biblia Habari Njema - BHND Naye akamwambia pia: ‘Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akamwambia pia: ‘Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.’ Neno: Bibilia Takatifu “Bwana wake akajibu, ‘Nakupa mamlaka juu ya miji mitano.’ Neno: Maandiko Matakatifu “Bwana wake akajibu, ‘Nakupa mamlaka juu ya miji mitano.’ BIBLIA KISWAHILI Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano. |
Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka salama katika kitambaa.
Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.
Basi yeye apandaye, na yeye atiaye maji ni wamoja, lakini kila mtu atapata thawabu yake mwenyewe kulingana na taabu yake mwenyewe.
Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.