Luka 19:19 - Swahili Revised Union Version19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Naye akamwambia pia: ‘Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Naye akamwambia pia: ‘Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Naye akamwambia pia: ‘Nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Bwana wake akajibu, ‘Nakupa mamlaka juu ya miji mitano.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Bwana wake akajibu, ‘Nakupa mamlaka juu ya miji mitano.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano. Tazama sura |