Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwa shambani na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na nderemo.
Luka 15:26 - Swahili Revised Union Version Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’ Biblia Habari Njema - BHND Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’ Neno: Bibilia Takatifu Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza maana ya mambo yale. Neno: Maandiko Matakatifu Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza, ‘Kuna nini?’ BIBLIA KISWAHILI Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini? |
Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwa shambani na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na nderemo.
Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, akiwa mzima.