Luka 18:36 - Swahili Revised Union Version36 na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Kipofu huyo aliposikia umati wa watu wakipita, akauliza nini kilikuwa kikitendeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini? Tazama sura |