Luka 18:35 - Swahili Revised Union Version35 Ikawa alipokaribia Yeriko, mtu mmoja kipofu alikuwa ameketi kando ya njia, akiomba sadaka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Isa alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Isa alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Ikawa alipokaribia Yeriko, mtu mmoja kipofu alikuwa ameketi kando ya njia, akiomba sadaka; Tazama sura |