Naingia bustanini mwangu, dada yangu, bibi arusi, Nachuma manemane yangu na rihani, Nala sega la asali na asali yangu, Nanywa divai yangu na maziwa. Kaleni, rafiki zangu, kanyweni, Naam, nyweni sana, wapendwa wangu.
Luka 14:16 - Swahili Revised Union Version Akamwambia, Mtu mmoja alifanya karamu kubwa akaalika watu wengi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akawaalika watu wengi. Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akawaalika watu wengi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akawaalika watu wengi. Neno: Bibilia Takatifu Isa akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anaandaa karamu kubwa, akaalika watu wengi. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anaandaa karamu kubwa, akaalika watu wengi. BIBLIA KISWAHILI Akamwambia, Mtu mmoja alifanya karamu kubwa akaalika watu wengi, |
Naingia bustanini mwangu, dada yangu, bibi arusi, Nachuma manemane yangu na rihani, Nala sega la asali na asali yangu, Nanywa divai yangu na maziwa. Kaleni, rafiki zangu, kanyweni, Naam, nyweni sana, wapendwa wangu.
Na watu wa Efraimu watakuwa kama shujaa, na moyo wao utafurahi kana kwamba ni kwa divai; naam, watoto wao wataona mambo haya, na kufurahi; mioyo yao itamfurahia BWANA.
Roho na Bibi arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure.
Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.