Luka 13:23 - Swahili Revised Union Version Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Biblia Habari Njema - BHND Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Neno: Bibilia Takatifu Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana Isa, ni watu wachache tu watakaookolewa?” Isa akawaambia, Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana Isa, ni watu wachache tu watakaookolewa?” BIBLIA KISWAHILI Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, |
Naye alikuwa akipita katika miji na vijiji, akifundisha, katika safari yake kwenda Yerusalemu.
Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze.