Luka 13:22 - Swahili Revised Union Version22 Naye alikuwa akipita katika miji na vijiji, akifundisha, katika safari yake kwenda Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Yesu aliendelea na safari yake kwenda Yerusalemu huku akipitia mijini na vijijini, akihubiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yesu aliendelea na safari yake kwenda Yerusalemu huku akipitia mijini na vijijini, akihubiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yesu aliendelea na safari yake kwenda Yerusalemu huku akipitia mijini na vijijini, akihubiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Isa akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Isa akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Naye alikuwa akipita katika miji na vijiji, akifundisha, katika safari yake kwenda Yerusalemu. Tazama sura |