Luka 13:23 - Swahili Revised Union Version23 Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana Isa, ni watu wachache tu watakaookolewa?” Isa akawaambia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana Isa, ni watu wachache tu watakaookolewa?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, Tazama sura |