Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikulinganishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Luka 13:18 - Swahili Revised Union Version Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini? Biblia Habari Njema - BHND Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini? Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mwenyezi Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? BIBLIA KISWAHILI Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini? |
Nikushuhudie nini? Nikufananishe na nini, Ee Binti Yerusalemu? Nikulinganishe na nini, nipate kukufariji, Ee bikira binti Sayuni? Kwa maana uvunjifu wako ni mkuu kama bahari, Ni nani awezaye kukuponya?
Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika shamba lake;
wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.