Nami nilisema kwa pupa yangu, Nimekatiliwa mbali na macho yako; Lakini ulisikia sauti ya kilio changu Wakati nilipokulilia.
Luka 11:10 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa. Biblia Habari Njema - BHND Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa. Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. |
Nami nilisema kwa pupa yangu, Nimekatiliwa mbali na macho yako; Lakini ulisikia sauti ya kilio changu Wakati nilipokulilia.
Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe au akimwomba samaki, badala ya samaki atampa nyoka?
Nami nawaambia, Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa.
Angalieni, twawaita heri wao waliostahimili. Mmesikia habari za kustahimili kwake Ayubu, kuona mwisho Bwana aliyomtendea, jinsi Bwana alivyo mwingi wa rehema na mwenye huruma.