Maombolezo 3:18 - Swahili Revised Union Version18 Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA. Tazama sura |