Luka 10:32 - Swahili Revised Union Version Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando. Biblia Habari Njema - BHND Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando. Neno: Bibilia Takatifu Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani. Neno: Maandiko Matakatifu Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani BIBLIA KISWAHILI Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando. |
Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali.
Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usikose kumsaidia mtu aliye jamaa yako.
Lakini, Msamaria mmoja katika kusafiri kwake alifika hapo alipokuwa; na alipomwona alimhurumia,
Ila Paulo akapaza sauti yake kwa nguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tuko hapa.
Nao wote wakamshika Sosthene, mkuu wa sinagogi, wakampiga mbele ya kiti cha hukumu. Wala Galio hakuyaona mambo hayo kuwa ni kitu.
Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,