Luka 10:31 - Swahili Revised Union Version31 Kwa nasibu kuhani mmoja alishuka kwa njia ile; na alipomwona alipita kando. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kuhani mmoja alikuwa akipitia njia ile, alipomwona huyo mtu, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kuhani mmoja alikuwa akipitia njia ile, alipomwona huyo mtu, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Kwa nasibu kuhani mmoja alishuka kwa njia ile; na alipomwona alipita kando. Tazama sura |