Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalitimiza?
Luka 1:57 - Swahili Revised Union Version Ikawa, siku za kuzaa kwake Elisabeti zilipotimia, alizaa mtoto mwanamume. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Biblia Habari Njema - BHND Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Neno: Bibilia Takatifu Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto wa kiume. Neno: Maandiko Matakatifu Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. BIBLIA KISWAHILI Ikawa, siku za kuzaa kwake Elisabeti zilipotimia, alizaa mtoto mwanamume. |
Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalitimiza?
Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto wa kiume, na jina lake utamwita Yohana.
Zamani za Herode, mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.
Wakasikia jirani zake na jamaa zake ya kwamba Bwana amemwongezea rehema zake, wakafurahi pamoja naye.