Luka 1:56 - Swahili Revised Union Version56 Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI56 Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake. Tazama sura |