Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Luka 1:55 - Swahili Revised Union Version

55 Kama alivyowaambia baba zetu, Abrahamu na uzao wake hata milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

55 kama alivyowaahidia wazee wetu, Abrahamu na wazawa wake hata milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

55 kama alivyowaahidia wazee wetu, Abrahamu na wazawa wake hata milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

55 kama alivyowaahidia wazee wetu, Abrahamu na wazawa wake hata milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

55 Ibrahimu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

55 Ibrahimu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

55 Kama alivyowaambia baba zetu, Abrahamu na uzao wake hata milele.

Tazama sura Nakili




Luka 1:55
12 Marejeleo ya Msalaba  

nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.


Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.


Agano langu nitalifanya imara kati yangu na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.


na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.


Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia.


Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.


Amemsaidia Israeli, mtumishi wake; Ili kukumbuka rehema zake;


Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo