Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 1:5 - Swahili Revised Union Version

5 Zamani za Herode, mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Wakati Herode alipokuwa mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya. Mke wake alikuwa anaitwa Elisabeti, naye alikuwa wa ukoo wa kuhani Aroni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Wakati Herode alipokuwa mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya. Mke wake alikuwa anaitwa Elisabeti, naye alikuwa wa ukoo wa kuhani Aroni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Wakati Herode alipokuwa mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya. Mke wake alikuwa anaitwa Elisabeti, naye alikuwa wa ukoo wa kuhani Aroni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wakati wa utawala wa Herode mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria, aliyekuwa wa ukoo wa kikuhani wa Abiya. Elizabeti mkewe alikuwa pia mzao wa Haruni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wakati wa Herode mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zekaria, ambaye alikuwa wa ukoo wa kikuhani wa Abiya. Elizabeti mkewe alikuwa pia mzao wa Haruni.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Zamani za Herode, mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

Tazama sura Nakili

Luka 1:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

ya saba Hakosi, ya nane Abia;

Huu ndio utaratibu wa zamu zao katika huduma yao, ya kuingia nyumbani mwa BWANA kwa kadiri ya agizo lao, kwa mkono wa Haruni baba yao, kama BWANA, Mungu wa Israeli, alivyomwamuru.

wa Abia, Zikri; wa Miyamini; wa Maazia, Piltai;

Ido, Ginethoni, Abia;

Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, majusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,

Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto wa kiume, na jina lake utamwita Yohana.

Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo