Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
Luka 1:12 - Swahili Revised Union Version Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia. Biblia Habari Njema - BHND Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia. Neno: Bibilia Takatifu Zakaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu. Neno: Maandiko Matakatifu Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu. BIBLIA KISWAHILI Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia. |
Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
Wakaingia kaburini wakaona kijana akiwa ameketi upande wa kulia, amevaa vazi jeupe; wakastaajabu.
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Akamkodolea macho, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Nami nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,
Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa BWANA; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona BWANA uso kwa uso.