Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 10:7 - Swahili Revised Union Version

7 Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 “Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 “Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 “Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ni mimi Danieli peke yangu niliyeona hayo maono; watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini waligubikwa na hofu kuu, hata wakakimbia na kujificha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Mimi Danieli, ni mimi peke yangu niliyeona hayo maono; watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini waligubikwa na hofu kuu, hata wakakimbia na kujificha.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

7 Mimi Danieli nikayaona peke yangu hayo yaliyooneka hapo, lakini mwenzangu waliokuwa nami hawakuyaona hayo kwa kupigwa na bumbuazi kabisa; ndipo, walipokimbia, wajifiche.

Tazama sura Nakili




Danieli 10:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Nilisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.


Ingia ndani ya jabali; ukajifiche mavumbini mbele za utisho wa BWANA, mbele za utukufu wa enzi yake.


Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.


Mwanadamu, ule chakula chako kwa mtetemo, ukanywe maji yako kwa kutetemeka na kwa kuyatunza sana;


Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami.


Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, waliisikia sauti, lakini hawakuona mtu.


Na hayo yaliyoonekana jinsi yalivyokuwa ya kutisha, hata Musa akasema, Nimeshikwa na hofu na kutetemeka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo