Luka 1:11 - Swahili Revised Union Version11 Akatokewa na malaika wa Bwana, amesimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zakaria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zekaria. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Akatokewa na malaika wa Bwana, amesimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia. Tazama sura |