Luka 1:10 - Swahili Revised Union Version10 Na makutano yote ya watu walikuwa wakisali nje saa ya kufukiza uvumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nao wakati wa kufukiza uvumba ulipowadia, wale wote waliokuwa wamekusanyika ili kuabudu walikuwa nje wakiomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nao wakati wa kufukiza uvumba ulipowadia, wale wote waliokuwa wamekusanyika ili kuabudu walikuwa nje wakiomba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na makutano yote ya watu walikuwa wakisali nje saa ya kufukiza uvumba. Tazama sura |