Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, ijapokuwa mimi sikujua.
Hosea 12:5 - Swahili Revised Union Version Naam, BWANA, Mungu wa majeshi; BWANA ndilo kumbukumbu lake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipambana na malaika, akamshinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Huko Betheli, alikutana na Mungu, huko Mungu aliongea naye. Biblia Habari Njema - BHND Alipambana na malaika, akamshinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Huko Betheli, alikutana na Mungu, huko Mungu aliongea naye. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipambana na malaika, akamshinda; alilia machozi na kuomba ahurumiwe. Huko Betheli, alikutana na Mungu, huko Mungu aliongea naye. Neno: Bibilia Takatifu Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mwenyezi Mungu ndilo jina lake! Neno: Maandiko Matakatifu bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, bwana ndilo jina lake! BIBLIA KISWAHILI Naam, BWANA, Mungu wa majeshi; BWANA ndilo kumbukumbu lake. |
Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, ijapokuwa mimi sikujua.
Yakobo akapaita mahali pale, Penieli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
Mwimbieni BWANA zaburi, Enyi watauwa wake. Na kutoa shukrani. Kwa kukumbuka utakatifu wake.
Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu.