Isaya 42:8 - Swahili Revised Union Version8 Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Jina langu mimi ni Mwenyezi-Mungu; utukufu wangu sitampa mwingine, wala sifa zangu sanamu za miungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Jina langu mimi ni Mwenyezi-Mungu; utukufu wangu sitampa mwingine, wala sifa zangu sanamu za miungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Jina langu mimi ni Mwenyezi-Mungu; utukufu wangu sitampa mwingine, wala sifa zangu sanamu za miungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu; hilo ndilo Jina langu! Sitampa mwingine utukufu wangu wala sanamu sifa zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Mimi ndimi bwana; hilo ndilo Jina langu! Sitampa mwingine utukufu wangu wala sanamu sifa zangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama sura |