Isaya 42:9 - Swahili Revised Union Version9 Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Tazama, mambo niliyotabiri yametukia; na sasa natangaza mambo mapya, nakueleza hayo kabla hayajatukia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Tazama, mambo niliyotabiri yametukia; na sasa natangaza mambo mapya, nakueleza hayo kabla hayajatukia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Tazama, mambo niliyotabiri yametukia; na sasa natangaza mambo mapya, nakueleza hayo kabla hayajatukia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Tazama, mambo ya kwanza yametokea, nami natangaza mambo mapya; kabla hayajatokea nawatangazia habari zake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Tazama, mambo ya kwanza yametokea, nami natangaza mambo mapya; kabla hayajatokea nawatangazia habari zake.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake. Tazama sura |