Hosea 12:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi, mrudie Mungu wako; shika fadhili na hukumu; ukamngojee Mungu wako daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake. Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu. Zingatieni upendo na haki, mtumainieni Mungu wenu daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi, mrudie Mungu wako; shika fadhili na hukumu; ukamngojee Mungu wako daima. Tazama sura |