Nawe umeamriwa; fanyeni hivi, mjitwalie magari katika nchi ya Misri kwa watoto wenu wadogo na wake zenu, mkamchukue baba yenu mje.
Hesabu 7:6 - Swahili Revised Union Version Basi Musa akapokea hayo magari, na ng'ombe, akawapa Walawi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi. BIBLIA KISWAHILI Basi Musa akapokea hayo magari, na ng'ombe, akawapa Walawi. |
Nawe umeamriwa; fanyeni hivi, mjitwalie magari katika nchi ya Misri kwa watoto wenu wadogo na wake zenu, mkamchukue baba yenu mje.
Na maskani ilishushwa; na wana wa Gershoni, na wana wa Merari, walioichukua maskani, wakasafiri kwenda mbele.
Pokea mikononi mwao, ili kwamba viwe vya kutumiwa katika utumishi wa hema ya kukutania; nawe utawapa Walawi vitu hivyo, kila mtu utampa kama utumishi wake ulivyo.