Hesabu 7:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi Musa akapokea hayo magari, na ng'ombe, akawapa Walawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, Mose akachukua magari na mafahali akawapa Walawi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi Musa akapokea hayo magari, na ng'ombe, akawapa Walawi. Tazama sura |