Hesabu 7:7 - Swahili Revised Union Version7 Wana wa Gershoni akawapa magari mawili na ng'ombe wanne, kama utumishi wao ulivyokuwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Aliwapa Wagershoni magari mawili ya kukokotwa na maksai wanne, kama walivyohitaji kwa kazi yao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Aliwapa Wagershoni magari mawili ya kukokotwa na maksai wanne, kama walivyohitaji kwa kazi yao, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Wana wa Gershoni akawapa magari mawili na ng'ombe wanne, kama utumishi wao ulivyokuwa; Tazama sura |