Hatajitia unajisi kwa ajili ya baba yake, wala kwa ajili ya mamaye, wala kwa kaka yake, wala kwa dada yake, wakifa wao; kwa sababu ya huku kujiweka kwa Mungu ni juu ya kichwa chake.
Hesabu 6:8 - Swahili Revised Union Version Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa BWANA Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake, yeye ni wakfu kwa Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa bwana. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa BWANA |
Hatajitia unajisi kwa ajili ya baba yake, wala kwa ajili ya mamaye, wala kwa kaka yake, wala kwa dada yake, wakifa wao; kwa sababu ya huku kujiweka kwa Mungu ni juu ya kichwa chake.
Na kama mtu yeyote akifa ghafla karibu naye, akajitia unajisi kichwa cha kutengwa kwake, ndipo atakinyoa kichwa siku hiyo ya kutakaswa kwake, atakinyoa siku ya saba.
kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko.