1 Samueli 1:28 - Swahili Revised Union Version28 kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Hivyo sasa ninamtoa kwa Mwenyezi Mungu. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Mwenyezi Mungu.” Naye akamwabudu Mwenyezi Mungu huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Hivyo sasa ninamtoa kwa bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa bwana.” Naye akamwabudu bwana huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko. Tazama sura |