Hesabu 6:7 - Swahili Revised Union Version7 Hatajitia unajisi kwa ajili ya baba yake, wala kwa ajili ya mamaye, wala kwa kaka yake, wala kwa dada yake, wakifa wao; kwa sababu ya huku kujiweka kwa Mungu ni juu ya kichwa chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 hata kama ni ya baba, mama, ndugu au dada yake, asije akajitia unajisi kwa maana amejiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu kwa kiapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 hata kama ni ya baba, mama, ndugu au dada yake, asije akajitia unajisi kwa maana amejiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu kwa kiapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 hata kama ni ya baba, mama, ndugu au dada yake, asije akajitia unajisi kwa maana amejiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu kwa kiapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hata kama baba yake mwenyewe au mama au kaka au dada akifa, hatajinajisi mwenyewe kwa ajili yao, kwa sababu ishara ya kujiweka wakfu kwake kwa Mungu ipo katika kichwa chake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hata kama baba yake mwenyewe au mama au kaka au dada akifa, hatajinajisi mwenyewe kwa taratibu za ibada kwa ajili yao, kwa sababu ishara ya kujiweka wakfu kwake kwa Mungu ipo katika kichwa chake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Hatajitia unajisi kwa ajili ya baba yake, wala kwa ajili ya mamaye, wala kwa kaka yake, wala kwa dada yake, wakifa wao; kwa sababu ya huku kujiweka kwa Mungu ni juu ya kichwa chake. Tazama sura |