Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 6:6 - Swahili Revised Union Version

6 Siku hizo zote ambazo alijiweka awe wa BWANA asikaribie maiti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Siku zote atakazokuwa amejiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo asikaribie maiti,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Siku zote atakazokuwa amejiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo asikaribie maiti,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Siku zote atakazokuwa amejiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo asikaribie maiti,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kwa kipindi chochote cha kujitenga kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mnadhiri hatakaribia maiti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kwa kipindi chochote cha kujitenga kwa ajili ya bwana hatakaribia maiti.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Siku hizo zote ambazo alijiweka awe wa BWANA asikaribie maiti.

Tazama sura Nakili




Hesabu 6:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.


wala hataingia penye maiti, wala asijitie unajisi kwa ajili ya baba yake wala mama yake;


wala asitoke katika mahali patakatifu, wala asipatie unajisi mahali patakatifu pa Mungu wake; kwa kuwa utakaso wa hayo mafuta ya kutiwa ya Mungu wake uko juu yake; mimi ndimi BWANA.


Hata imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awaye yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemtambua Kristo kwa jinsi ya mwili, lakini sasa hatumtambui hivi tena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo