Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 6:8 - Swahili Revised Union Version

8 Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa BWANA

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Muda wote atakaokuwa mnadhiri atakuwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake, yeye ni wakfu kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Siku zote za kujitenga kwake, yeye ni mtakatifu kwa BWANA

Tazama sura Nakili




Hesabu 6:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hatajitia unajisi kwa ajili ya baba yake, wala kwa ajili ya mamaye, wala kwa kaka yake, wala kwa dada yake, wakifa wao; kwa sababu ya huku kujiweka kwa Mungu ni juu ya kichwa chake.


Na kama mtu yeyote akifa ghafla karibu naye, akajitia unajisi kichwa cha kutengwa kwake, ndipo atakinyoa kichwa siku hiyo ya kutakaswa kwake, atakinyoa siku ya saba.


Niliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba;


kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo