Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili.
Hesabu 4:44 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa kwao, kwa jamaa zao, walikuwa elfu tatu na mia mbili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ilikuwa watu 3,200. Biblia Habari Njema - BHND ilikuwa watu 3,200. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ilikuwa watu 3,200. Neno: Bibilia Takatifu waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa elfu tatu na mia mbili. Neno: Maandiko Matakatifu waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa kwao, kwa jamaa zao, walikuwa elfu tatu na mia mbili. |
Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili.
kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, ambao Musa na; Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA, kwa mkono wa Musa.
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita muwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili muweze kustahimili.
Makomeo yako yatakuwa ya chuma na shaba; Na kadiri ya siku zako ndivyo zitakavyokuwa nguvu zako.