Hesabu 4:45 - Swahili Revised Union Version45 Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, ambao Musa na; Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA, kwa mkono wa Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Musa na Haruni waliwahesabu kufuatia amri ya Mwenyezi Mungu kupitia kwa Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Musa na Haruni waliwahesabu kufuatia amri ya bwana kupitia kwa Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, ambao Musa na; Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA, kwa mkono wa Musa. Tazama sura |