Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 4:43 - Swahili Revised Union Version

43 kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, waliofaa kuhudumu katika hema la mkutano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, waliofaa kuhudumu katika hema la mkutano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, waliofaa kuhudumu katika hema la mkutano,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

43 kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,

Tazama sura Nakili

Hesabu 4:43
5 Marejeleo ya Msalaba  

tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,

Na hao waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,

wale waliohesabiwa kwao, kwa jamaa zao, walikuwa elfu tatu na mia mbili.

Mambo yawapasayo hao Walawi ni haya; tangu waliopata umri wa miaka ishirini na mitano na zaidi wataingia ndani ili wahudumu katika hema ya kukutania;

Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa na umri wa miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo