Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lolote kati ya hayo ambayo BWANA, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia;
Hesabu 32:2 - Swahili Revised Union Version hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia, Biblia Habari Njema - BHND waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia, Neno: Bibilia Takatifu Hivyo walimjia Musa, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia, Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo walimjia Musa, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia, BIBLIA KISWAHILI hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema, |
Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lolote kati ya hayo ambayo BWANA, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia;
Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;
Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa hizi kabila tisa, na nusu ya kabila la Manase.
Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na mbuga zake za malisho, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa.
Mbona ulikaa katika mazizi ya kondoo, Kusikiliza filimbi zipigwazo ili kuita makundi? Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.