Yoshua 13:7 - Swahili Revised Union Version7 Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa hizi kabila tisa, na nusu ya kabila la Manase. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Utayagawia nchi hizo makabila tisa na nusu ya kabila la Manase ambayo bado hayajapata kitu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Utayagawia nchi hizo makabila tisa na nusu ya kabila la Manase ambayo bado hayajapata kitu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Utayagawia nchi hizo makabila tisa na nusu ya kabila la Manase ambayo bado hayajapata kitu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 sasa basi, ligawanye eneo hili kwa yale makabila tisa na ile nusu ya kabila la Manase kuwa urithi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 sasa basi, ligawanye eneo hili kwa yale makabila tisa na ile nusu ya kabila la Manase kuwa urithi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa haya makabila tisa, na nusu ya kabila la Manase. Tazama sura |